Mzazi wa Mmoja wa Wapenzi wa R.Kelly Aomba Kukutanishwa na Mwanae

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mama wa Joycelyn Savage ( mmoja wa Wapenzi wa R. Kelly) amezungumza mbele ya vyombo vya habari na kuomba kukutana na mwanae baada ya kupita miaka miwili bila kuonana hii ni baada ya Mwanae huyo kumtuhumu yeye pamoja na Mume wake kumtishia Mwimbaji R. Kelly ili wajipatie fedha.

kupitia mahojiano ya kituo cha TV cha CBS “This Morning” kilifanya mahojiano na wasichana wawili ambao walitajwa kuwa waliwahi kuwa mapenzini na mwimbaji R. Kelly na kusema kuwa wazazi wao waliwataka wadanganye kuhusu umri wake pamoja na kutengeneza kanda za ngono pamoja na R.Kelly ambapo baadae wangezitumia kwa kulipiza kisasi.



Jocelyn Savage pamoja na Azriel Clary walisisitiza na kusema kuwa wazazi wao waliwataka wafanye hivyo ili baadae watumie picha pamoja na videos hizo kama ushahidi endapo R.Kelly angegoma kutoa kiasi cha pesa walichokitaka huku lengo lao kubwa ilikua kukusanya pesa kutoka kwaR. Kelly .

“Tunachotaka kujua ni kama Mtoto wetu yupo sawa kiakili na kimwili na hafayiwi unyanyasaji wowote  lakini tusiposkia chochote kutoka kwake kwa siku moja au wiki basi tunajua una kitu kibaya basi tutaomba team ya R.Kelly kuoma kukutana na mtoto wetu” >>> Mama wa Jocelyn Savage


“Tunachotaka kujua ni kama Mtoto wetu yupo sawa kiakili na kimwili” Mama wa Joycelyn Savage ( mmoja wa Wapenzi wa R. Kelly) akizungumza kuomba kukutana na Mwanae huyo baada ya kupita miaka miwili bila kuonana, hatua hii ni inakuja baada ya Mwanae huyo kumtuhumu yeye pamoja na Mume wake kumtishia Mwimbaji R. Kelly ili wajipatie fedha.#MillardAyoUPDATES (📹 CBS)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad