Queen Darleen Afunguka Sakata la Kumtelekeza Baba Yao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Queen Darleen Afunguka Sakata la Kumtelekeza Baba Yao
Dada wa msanii Diamond Platnumz, Queen Darleen amesema baba yao, Mzee Abdul wanamjali na kumthamini licha ya kuwa jamii inachukulia tofauti.

Kwenye mahojiano na kipindi cha The Playlist ya Times Fm amesema wamekuwa wakimpa msaada mara kwa mara pindi inapohitajika pasipo kuzungumza kwenye vyombo vya habari.

"Huwezi ukawa kila unachompa mzazi wako utangaze, mimi nadhani mzee anatukosea kila anachokitaka anakipata na kwa wakati,’’ amesema Queen Darleen

"Kulikuwa kuna vitu tulitakiwa kumfanyia sio vizuri kuviongea, hata yeye huko aliko anajua anafanya interview anaweza akavizungumzia,’’ ameongeza.

Wiki chache zilizopita baba mzazi wa wasanii Diamond Platnumz na Queen Darleen, Mzee Abdul  alifanya mahojiano na vyombo tofauti vya habari na kuzua gumzo miongoni mwa mashabiki wa wasanii hao, wengi wakiamni mzee huyo  hana msaada wowote kutoka kwa watoto wake kutokana na kile alichokuwa akikizungumza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad