PAUL Makonda Amkingia kifua R Kelly, Amtaja Diamond "Kuna Jambo Limejificha Hapa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameshindwa kuficha hisia zake kuhusiana na sakata la unyanyasaji wanawake kingono linalomkabili nguli wa muziki wa RnB duniani, R. Kelly.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Makonda ameandika kuwa kwa sasa amechagua kuwa upande wa R Kelly mpaka hapo baadae Mahakama itakapotoa hukumu, kwani Kwa sasa bado ni tuhuma.

Hiki ndicho alichoandika:

Kuna Jambo limejificha hapa. Natamani tumsikilize tena R kelly. Inawezekana akawa mkweli, kwani wote hapo pichani wamewahi kupewa kesi za aina moja na mwisho jamii ikawaona kama wamechanganyikiwa. Hivi kesho unaweza kutuambia kuwa @diamondplatnumz anawabaka wasichana na kuwafungia madale kweli? . Kwa sasa nimechagua upande wa R Kelly mpaka hapo baadae Mahakama itakapotoa hukumu, kwani Kwa sasa bado ni tuhuma.

R. Kelly kwa sasa yupo nje kwa dhamana na bado upepelezi wa tuhuma za unyanyasaji kingono wanawake unaendelea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad