Rosa Ree Atoa Siri ya Gari Lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rosa Ree Atoa Siri ya Gari Lake
SIKU kadhaa baada ya kuanika gari aina ya BMW nyekundu, staa wa kike anayekimbiza katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosary Iwole ‘Rosa Ree’ ametoa siri ya gari hilo kuwa amekuwa mtu wa kumshirikisha Mungu katika kila jambo lake. Akichonga na Za Motomoto, Rosa Ree anayetikisa na ngoma kibao ikiwemo Dow alisema kuwa, anashangazwa na wasanii wanaposema kuwa muziki haulipi wakati hawajitumi katika kazi zao pamoja na kumshirikisha Mungu katika maombi.

“Muziki unalipa asikwambie mtu kitu, ukiufanya kama biashara na kama kitu ambacho unakipenda basi na wenyewe hauwezi kukuangusha. “Napenda kazi yangu na namshirikisha Mungu kila hatua ndiyo maana leo nina nguvu za kusimama na kusema nimejinunulia gari yangu sio menejimenti ni mimi mwenyewe kutokana na kazi yangu ya muziki,” alisema Rosa Ree.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad