Askofu Ampa Rais Magufuli Ujumbe Mzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




 Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Baba Askofu Dkt. Flavian Kasalla amemtaka Rais John Magufuli asiogope kutekeleza changamoto zilizopo ndani ya Taifa lakini pia kusimamia watu wote kwa usawa na haki ili kuleta mashirikiano na masikilizano ndani ya familia za Kitanzania.

Aidha wamempongeza kwa jitihada zake za kukuza na kuimarisha uchumi sanjari na jitihada zake za kutetea wananchi wanyonge na kusisitiza kuwa maendeleo hayana chama, dini wala kabila.

Kanisa pia limelaani yote yanayojengwa kwa msingi wa kuleta chuki, ubaguzi na maangamizi.

Hapo jana Rais Magufuli alizungumza na waumini wa kanisa katoliki kwenye misa takatifu ya kusimikwa kwa Askofu Gervas Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mbeya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad