Binti wa kidato cha tatu anaomba ushauri wa mapenzi, msaidieni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Naitwa NEEMA ni msichana wa miaka 18 Nasoma kidato cha tatu (form 3) hapa jijini DAR-ES-SALAAM.... nimejitokeza kwenu kuomba ushauri

Mimi nina mpenzi wangu ambae yupo chuo kikuu cha UDSM, ana miaka 25... kutokana na mapenzi anayo nionyesha sitamani tena kuendelea na shule... kwani nikiwa darasani muda wote namuwaza yeye tu

Nilicho penda kutoka kwa huyu BOYFRIEND wangu ni kua ananijali sana na ana pesa kwan kwao wanajiweza kifedha... ananionga sana PESA kwani nikitaka hela ya CHIPS KUKU hua ananipa, hela ya lotion, pafyumu na saloon hua ananipa kila mwezi kwahiyo sina shida na shule wala sioni umuhimu wa shule.

NAOMBENI ushauri wenu jamani.. niwaambie nini WAZAZI wangu ili wanikubalie niache SHULE ili niolewe na huyu MWANAUME nifaidi pesa zake na mali za nyumbani kwao..

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad