Chama afunguka kuhusu mchezo wao na TP Mazembe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama raia wa Zambia amehuzunika kwa kushindwa kuwafunga TP Mazembe kwenye Dimba la Taifa lakini akaweka wazi kwamba hukohuko kwao DR Congo watafungika.

Mzambia huyo juzi Jumamosi alikuwa mmoja wa viungo walioanza katika kikosi cha Simba katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe, Mechi hiyo ilimalizika kwa suluhu.

Timu hizi mbili zitarudiana Aprili 13, katika mechi ya pili itakayopigwa Lubumbashi, DR Congo kuamua timu itakayofuzu nusu fainali.

Mchezaji huyo amesema kuwa matokeo hayo kwao hayakuwa bora sana lakini watapambana katika mechi ya Congo ili wapate ushindi, na hawakuwa wanataka mechi hiyo imalizike namna ile.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad