Mama Amtelekeza Mtoto Aenda Kujiuza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 5 amekutwa amefungiwa ndani ya nyumba usiku, huku mama yake akidaiwa kummuacha na kwenda kufanya biashara ya uchangudoa kwenye kumbi za starehe.


Mtuhumiwa wa tukio hilo ametajwa kwa jina la Diana Joel Kyando (22) ambapo usiku wa kuamkia leo katika mtaa wa Dombwela katika Wilaya ya Makete mkoani Njombe ambapo mwenyewe amedai kuwa alifanya hivyo ili kupata fedha ya kumtunza mtoto huyo.

Akizungumza katika ofisi za Afisa Mtendaji Kata ya Iwawa wakati akihojiwa na Afisa mtendaji wa Kata hiyo Devota Paul, mama huyo amesema ugumu wa maisha na kukosa fedha za matunzo kutoka kwa baba wa mtoto ndicho kimemfanya kufikia uamuzi huo wa kwenda kujiuza ili apate fedha.

Awali tukio liligunduliwa na jirani aliyegundulika kwa jina la Alatwegha Sanga ambaye anadai alisikia sauti ya mtoto huyo akiwa analia ni mwanamke  ameelezea bila yeye huenda mtoto angekutwa na hatari yeyote.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad