Mkuu wa UN Ataka Mashambulizi Kusitishwa Libya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa UN Ataka Mashambulizi Kusitishwa Libya
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali kuongezeka kwa makabiliano ya kijeshi karibu na mji wa Tripoli na kutoa wito wa kusitishwa mapigano maramoja nchini Libya.

Ombi lake limefuatia shambulizi la angani lililofanywa na vikosi vya kamanda Khalifa Haftar kwenye Uwanja wa ndege wa Mitiga mashariki mwa Mji Mkuu wa Tripoli.

Taarifa ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa Guterres amezitaka pande hizo mbili zinazohasimiana zisitishe mapigano ili kuepusha kuzuka kwa mzozo mkubwa nchini humo, Shambulizi hilo la angani lilisababisha kufungwa kwa Uwanja huo pekee wa ndege ambao unafanya kazi mjini Tripoli wakati makabiliano yakipamba moto karibu na mji huo mkuu na maelfu ya watu kukimbia.

Haftar alianzisha wiki iliyopita operesheni ya kukamata Tripoli wakati Guterres alikuwa nchini Libya kushinikiza makubaliano ya kisiasa kuhusu kuandaliwa uchaguzi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad