TP Mazebe yaandika Walalamikia Huduma Mbovu Walizopewa na Simba, Haji Manara Awajibu “Msitafute Visingizio”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 TP Mazebe yaandika Walalamikia Huduma Mbovu Walizopewa na Simba,  Haji Manara Awajibu “Msitafute Visingizio”
Klabu ya TP Mazembe ambayo iliwasili hapo jana usiku kwaajili ya kuwakabili Simba SC kwenye mchezo wao wa michuano ya CAF Champions league, wamejikuta wakilikataa basi lililoandaliwa na miamba hiyo ya soka Tanzania huku wakihusisha na maswala ya imani za kishirikina.

Mbali na kulalamikia basi hilo lakini pia wameenda mbali zaidi wakituma malalamiko ya kwa shirikisho la soka barani Afrika CAF kwa kulalamikia huduma mbovu walizopewa na wageni wao.

Baada ya kuanza tuhuma hizo huku wakihusisha kwamba hata vilabu vingine vilivyocheza na Simba wakianza na Nkana kutoka Zambia, Alhly kutoka Misri, JS Soura kutoka Algeia na ndugu zao AS Vita kuwa walikutana na huduma hizo mbovu kutoka kwa Simba.

Ingawa Msemaji wa Simba Haji Manara ameamua kujijibu tuhuma hizo kwa kusema haya:-

Ikumbukwe Simba watacheza na TP Mazembe kutoka DR Congo siku ya Jumamosi katika uwanja wa taifa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad