Mohamed Hussein Awaomba Radhi Mashabiki wa Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BEKI mwenye mapenzi na Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kwa bao la kujifunga katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa juzi Ijumaa katika Uwanja wa Uhuru.



Simba imejikuta ikipoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar kwa kufungwa bao hilo na kubakia na pointi zake 81.

Tshabalala alijifunga mwenyewe katika mchezo huo akiwa katika harakati za kuokoa mpira kitendo ambacho kimemfanya awaombe radhi mashabiki wa timu hiyo.



Tshabalala alisema kuwa; “Mniwie radhi kwa kilichotokea, najua kuwa nimeigharimu timu yangu lakini makosa ni sehemu mojawapo ya maisha ya mwanadamu, tumepabana sana lakini mwenyezi Mungu hakupenda tupate pointi tatu.”



“Kilichotokea hatupaswi kukata tamaa kwani kujikwaa sio kuanguka bado tuna nafasi ya kupambanana kutetea ubingwa wetu,” alisema mchezaji huyo anayeendesha gari aina ya Toyota Raum New Model.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad