Nyota yako Leo Jumamosi May 11 2019

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


🌟NG'OMBE- (Aprili 21- May 21)
Siku ya Leo Yale uliyokuwa unayataka au uliyoyadhamiria yatakuwa utakutana na marafiki wakweli na waaminifu watakaokuongoza katika njia nzuri za mafanikio ya kimaisha tegemea kupata habari nzuri

🌟MAPACHA- (May 22-Juni 21)
Alkhamis hii kinyota ni mbaya kwako jambo lolote utakalofanya hata liwe zuri vp litakugeuka Unashauliwa kuwa uahilishe mipango yako yote hasa kwa muda huu na ikiwezekana mpaka kesho mchana

🌟KAA- (Juni 22- Julai 23)
Leo kama ni Wewe mfanya biashara utakumbana na hasara au mikosi na biashara utakayoifanya inaweza kukwama kama ni mkulima utapoteza mazao yako kama umeoa basi kunaweza kukatokea ugomvi na mkeo kama mfanyakazi kuwa mwangalifu sana oficeni

🌟SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23
Leo hii mambo yako mengi yatafanyika kwa haraka kuliko ulivyotegemea utapata ahadi za ukweli na ziwe za kifedha kimaisha vile vile utapata habari nzuri kuhusu watoto au watoto wako watakufurahisha

🌟MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Inaonekana kuna dalili ya kupata fedha na heshima kubwa katika jambo lako ambalo unalitarajia kama hujaoa utapata wa kukusaidia ndoa ipo njiani inakuja ndoa hiyo na nyote wawili mke na mume itadum kwa muda mrefu na itakuwa na mafanikio makubwa

🌟MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Leo na kesho IJUMAA utapata habari nzuri kutoka kwa rafiki yako wa mbali hata hivyo mafanikio yako makubwa yatakuja baada ya Wewe kufanya mabadiliko ya kikazi na kama huna shughuli yoyote utapata mafanikio.

🌟NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Leo inaonekana hutasononeka na vitendo vizuri utakavyofanyiwa na marafiki zako ambao wanakupenda sana tegemea kupata mambo mazuri Leo.

🌟MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Siku ya Leo jihadhari sana kudanganywa usimwamini mtu yoyote katika jambo lolote na kama unataka kulifanya hilo jambo jaribu sana kufanya uchunguzi kabla ya kulifanya nyota zinaonyesha kwamba kuna dalili ya kupoteza fedha au Mali.

🌟MBUZI- (Desemba 22- Januari 20)
Kama ulikuwa umedhamiria kufanya jambo lolote Leo ndio wakati wako kama una kesi basi utashinda na mipango yako uliyokuwa imekwama itafunguka

🌟NDOO- (Januari 21- Februari 19)
Jaribu kuwa mwangalifu katika kujitetea kwa makosa uliyoyafanya na unapozungumza na mtu yoyote hata awe mdogo au mkubwa chunga sana

🌟SAMAKI- (Februari 20- March 20)
Siku ya Leo jaribu sana kuwa na tahadhari hiyo haraka yako ya kufanya mambo itakuletea hatari na matatizo sana mbele yako unaweza hata kupigwa na kuumizwa kuwa makini

🌟PUNDA- (March 20- April 20)
Alhamisi ya Leo kuwa makini kuna maneno au habari mbaya utakazo letewa epuka kuamini kila utakachoambiwa kati yako na rafiki yako mambo ulokuwa ukayategemea yatakamilika wiki hii ludisha Imani kwa yule anaekusaidia mambo yako

 SHEIKHE ISAYA  ATAKUSAIDIA KUTAMBUA   nyota yako.unayo tumia katika kazi zako. biashara zako. nakujuwa je nyota yako inafanya kazi kama unavyotaka ?

 Pia atakusaidia kutoa majini wabaya  kusafisha  nyota yako. na kuinua iwe yenye mafanikio makubwa haraka dr isaya  atakusaidia kurudisha mmeo mkeo ama mpenzi kupata kazi  na  kupadishwa vyeo kazini nk 

SHEIKHE ISAYA ANATATIKANA OFISINI KWAKE DSM MAGOMENI KANISANI MSIKITI WA KINYUNGI kama unaswali piga simu au whatsapp+255745495181 0682644040  www.tumainitibaasili.co.tz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad