Pep Guardiola kawakataa Juventus

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya club ya Juventus kutangaza kuwa haitoendelea tena na aliyekuwa kocha wao Massimiliano Allegri katika msimu wa 2019/2020, wengi wameanza kuhusisha majina ya makocha mbalimbali kama ndio watakwenda kuwa mbadala wa kocha huyo aliyedumu katika club hiyo kwa miaka mitano.

Juventus imeamua kuachana na kocha Massimiliano Allegri kutokana na kutofurahishwa na hatua wanayoishia katika michuano ya UEFA Champions League, kwani wanataka kocha anayeweza kuwaletea taji hilo, kwa misimu yote mitano kocha Massimiliano Allegri aliyekuwepo Juventus amefanikiwa kutetea taji la Ligi Kuu ya Italia Serie A kwa mara zote.

Kuelekea maandalizi ya msimu ujao Juventus wameanza kuhusishwa kuwa mbioni kuingia mkataba na makocha mbalimbali wakiwemo Antoine Conte, Simone Inzaghi, Diego Simeone, Maurizio Sarri, Carlo Ancelotti, Mauricio Pochettino, Jose Mourinho na Pep Guardiola ambao ndio wanatajwa ila Pep Guardiola amekanusha kuwa haendi Juventus.

“Mara ngapi nimekuwa nikisema siendi Juventus au Turin? Sitahamia Italia nitabakia hapa (Man City) kama watanihitaji kwa misimu miwili na zaidi  nina mkataba siwezi kuhama, nimeridhishwa na hii club na hawa watu hapa siendi popote”>>>Pep Guardiola
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad