Ramaphosa Achagua Baraza la Mawaziri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ramaphosa Achagua Baraza la Mawaziri
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amechagua Baraza jipya la Mawaziri, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupambana na rushwa iliyotawala katika serikali yake. Ramaphosa ameonya kwamba mawaziri hao watafuatiliwa kwa karibu.

Baraza hilo jipya lina mawaziri 28 badala ya 36 wa baraza lilopita. Na nusu yake ni wanawake. Ramaphosa amechagua mawaziri wake kutoka ndani na nje ya chama chake cha African National Congress (ANC). Matarajio ni makubwa miongoni mwa wanachi wa Afrika Kusini, waliokichagua tena chama cha ANC katika uchaguzi wa Mei 8.

 Wanamtegemea Ramaphosa kuleta mfumo mpya wa uongozi baada ya taifa hilo kwa miaka kadhaa kukabiliwa na kashfa tofauti. Kuteuliwa tena kwa David Mabuza kama Naibu Rais kumezua malalamiko kutoka upande wa upinzani. Jina la Mabuza limehusishwa na rushwa na tume ya uadilifu ya chama cha ANC.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad