DC Mpanda akataza watoto kupewa majina ya ajabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Lilian Matinga amewataka wazazi wilayani humo kuacha tabia ya kuwaita watoto wao majina yasiyoendana na maadili ya kijamii akitolea mfano majina ya wanyama  kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo ni sawa na kufanya kitendo cha ukatili mtoto husika. 


Mkuu huyo wa wilaya ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika kwenye Viwaja vya Kashaulili mjini Mpanda mkoani Katavi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Juma Homera. 


Akizungumzia namna ya kuwajenga watoto kimaadili na kuwatimizia haki zao kama watoto, mkuu huyo wa wilaya amewasisitiza wazazi hao kuwapenda, kuwalinda na kuwajali sambamba na kuwapatia mahitaji muhimu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad