IDRISS Sultan Hampendi Wema Tena "Siwezi Kumposti WEMA Sepetu, Siku Hizi Nimebadili Fikra zangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mchekeshaji wa Tanzania, Idriss Sultan amefunguka ishu ya kutomposti wema Sepetu baada ya Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kuamuru kuwekwa mahabusu kwa siku 7 wakati akisubiria uamuzi wa mahakama wa kumfutia  dhamana.

Idris amewahoji wadau kuwa wanahisi maaskari wanamuonyesha hizo pole akiwa huko mahabusu? huku akisema kuwa hizo pole zitamsaidia zaidi zikimfikia personally.

"Baadhi ya vitu ambavyo inabidi tupotezee sana watanzania ni mambo ya kuuliza watu “Kwanini hujaposti janga, au tatizo lililomtokea mtu”. Zamani nilikuwa nikiweka vitu kama hivyo online nampa pole mtu n.k siku hizi nimebadili fikra zangu kwenye mambo kama haya," alisema Idris.

"Watu wengi sana wamekuwa wakipeana pole kupitia posts na kujikuta siku hadi siku wanapunguza kufanya haya mambo katika maisha ya nje ya mtandao. Unampongeza mtu happy birthday on instagram (ambayo ni nzuri sana tu) ila unasahau kuwa ni mtu wako wa karibu na ungeweza kumpigia pia na simu ukamjulia na hali on a more personal level."

"Nimejifunza kuwa watu wangu wa karibu wananihitaji zaidi personally na sitaki yale mambo ya “Oya kesho birthday yangu, niposti”😰, there’s nothing real about that. Hatuwezi kuishi kwa kutegemea likes au retweets ndugu zangu."

"With that said nadhani mnaelewa sasa kwanini sijamposti rafiki yangu kuwa mahabusu na sioni tatizo kwa walioposti ila kwa wale wa karibu yake nimeuliza “Mnahisi maaskari wanamuonyesha hizo pole ?🤷🏽‍♂️ Zitamsaidia zaidi zikimfikia personally hata kwa kumpa ujumbe mtu kumfikishia kama hauwezi muona” ... I hope I will never have to explain how great friends me and her are. I hope you be a better and real friend to yours."

Wema Sepetu anayekabiliwa na shtaka moja la kuchapisha video ya ngono na kusambaza katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Jumanne Juni 11, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilitoa hati ya kumkamata mlimbwende huyo wa Tanzania mwaka 2006, baada ya kukiuka masharti ya dhamana.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad