Msanii wa muziki nchini Marekani Amzimia Vanessa Mdee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki nchini Marekani ambaye pia ni Dj, Thomas Wesley Pentz Jr. maarufu kama Diplo, amefunguka hisia zake juu ya msanii wa muziki wa bongo fleva, Vanessa Mdee.


Kwenye posti aliyoiweka Vanessa kwenye ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo kutoka majuu akaona isiwe tabu na kuja ku-coment chini yake akielezea ni kwa namna gani anavyohisi moyoni mwake, ambapo Vanessa alijibu bila kusita.



Inasemekana kuwa Vanessa Mdee ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu Juma Jux, na huenda siku za hivi karibuni akampata shemeji mpya kutoka majuu.

Diplo ni kiongozi wa kundi la muziki la Major Lazer la nchini Marekani, ambalo limeshatoa hitsongs kibao kama Lean on ambayo imetazamwa mara bilioni 2.5 kwenye mtandao wa YouTube.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad