'Naomba Watanzania Wasinitoe Akili Kwa Mimi Kuamua Kuimba' Baba Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naomba Watanzania wasinitoe akili - Baba Diamond

Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma amewaomba Watanzania kutomtoa akili kwasababu anaimba muziki kwa sababu kuimba ni kipaji.

Baba Diamond amesema kuwa yeye hana utu uzima kiivyo huku akisema kuwa kuna wazee ambao walikuwepo kwenye mziki na wamekufa wakiimba.

"Naomba Watanzania wasinitoe akili mziki ni kipaji , mimi sina utu uzima ule wa kupita kiwango wa kusemna kwamba too much nadhani ni kawaida na kuna wakubwa wanaoimba zaidi ya mimi wakubwa mpaka wamezeekea na kufa kwenye muziki,"  amesisitiza Baba Diamond.
"Kwahiyo ni vitu vya kawaida atakae taka kunipa sapoti atanipa atakaeona sifai ataachana na mimi wanamuziki wako wengi tu ila tusitoleane ,maneni ya kashfa tukatukanana kwa kitu ambacho leo kipo kesho hakipo."
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad