Video: Makonda Akerwa na Machinga wa Kariakoo, Awachukulia Hatua Kali, Atoa Agizo Kwa Wakuu wa Wilaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akishirikiana na Kamanda, Lazaro Mambosasa wamefanya ziara kwenye soko la Kariakoo kukagua vitambulisho kwa wamachinga sokoni hapo.

Ambapo amesikitishwa na baadhi ya mambo yanayofanywa na wamachinga wa soko hilo wanaokwenda kinyuma na agizo la Rais John Pombe Magufuli.

Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari leo, June 4, 2019 Makonda amesema lengo kubwa la ziara hiyo ni kuangalia ni kwa kiasi gani zoezi hilo limefanikiwa na amebainisha mambo kadhaa yakiwemo baadhi ya machinga kutumia vitambulisho feki, wengine kukodisha vitambulisho hivyo kwa shilingi elfu moja kwa siku, huku wengine kubadilishana vitambulisho hivyo siku za ukaguzi.

Kufuatia mambo hayo Makonda ametoa maagizo kwa wakuu wa wilaya wote jijini Dar es salaam kuhakikisha wamachinga wote wanakuwa na vitambulisho hivyo, kama anavyoeleza hapa chini
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad