AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Guys hili bifu la mondi na kiba bado lipo pale pale, wale wanaosema hawa jamaa hawana mabifu basi wanajidanganya tu.. Jiulize ushawahi kuwaona vijana wa Kings music wakitambulisha ngoma zao mpya wasafi media? ila cha ajabu wasafi tv na radio wanapiga ngoma za hao kings kila siku hadi ngoma zao mpya zinachezwa bila hata official interviews/release kwa wasafi.
Sawa una bifu na mondi hata uzao wako usijihusishe na chochote kinachohusiana na mondi hata kama kina faida kwao kibiashara? Kumbe bifu binafsi na biashara huwa vinakwenda pamoja? Alikiba badilika biashara haiendi hivyo hata kidogo waache vijana wako wawe huru kwenda popote as long as hawavunji/hawavunjiwi heshima kwako na kwa wengine.
Big up kwa Wasafi Media, ile ni media ambayo ipo huru Tanzania haijalishi uwe na bifu na mmiliki wake au la wewe ngoma zako zitapewa airtime everyday labda wewe mwenyewe uwaambie waache kupiga.
Compared na Radio fulani fulani wote tunajua hizo media ukikorofishana na presenter au hata mfagia ofisi kwa mambo yenu binafsi basi Department zote haijalishi tv au radio watasitisha kucheza ngoma zako mara moja! VERY UNPROFESSIONAL.
Entertainment media za kibongo zijifunze kutokuendesha media zao kwa mihemko.
By LIKE Niku ADD/JF
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK