AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MSANII wa filamu za Kibongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amefunguka kuwa hajawahi kumshobokea staa yeyote wa kike ndani ya Bongo Muvi na hatafanya hivyo. Staa huyo, alisema wanawake wengi wanafikiri kuwa anaringa na kujisikia lakini ukweli ni kwamba hajaona wa kutoka naye Bongo Muvi ndiyo maana anawapigia kimya.
“Hili nalisema kila wakati, ningekuwa na mizuka na mastaa kwa kweli ningetembea nao wengi, lakini mimi sitaki kwa sababu bado sijaona wa kutoka naye… cha msingi nafurahi tayari nina watoto wangu, hilo nashukuru Mungu,” alisema Hemed
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK