Hospitali ya Muhimbili Wafunguka Hali ya Azim Dewji Baada ya Kupata Ajali Mbaya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msemaji wa Hosptali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha mifupa( MOI) Patrick Mvungi, amethibitisha uwepo wa mfanyabiashara Azim Dewji katika hospitali hiyo ambapo kwa sasa anaendelea vizuri.


Akizungumza leo Julai 27, 2019 majira ya saa 11:30 jioni Mvungi amesema, Azim walimpokea Julai 26  majira ya jioni, ambapo kwa mujibu wa ripoti ya madaktari mfanyabiashara huyo ameumia sehemu ya mgongo.

''Anaendelea vizuri tulimpokea jana na bado anaendelea na matibabu, aliumia kwenye mgongo ndio kitu kilichopelekea aletwe kwetu'' amesema msemaji wa MOI.

Azim Dewji alipata ajali jana Julai 26, wakati akielekea wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani, katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Rufiji uliozinduliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad