Jamani Nabii Titto AZIDI Kuchanganyikiwa..Ajibadili na Kuwa Mwanamke..Tazama Picha na Video

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanaume mmoja ambaye anajulikana kwa jina la Nabii Tito bado ameendelea kuwa kihoja au gumzo mbele ya jamii kutokana na matendo yake licha kuwa mwaka jana alikumbana na mkono wa sheria kwa kosa la kutumia kitabu cha dini ya Kikristo kupotosha jamii.

Baada ya kukumbana na mkono wa sheria na baadaye kuachiwa, Nabii Tito amekuja kivingine baada ya kuonekana akiranda randa eneo ambalo Diamond na familia yake walifanya sherehe ya kumbukumbu kuzaliwa kwa mpenzi wake Tanasha na mama yake huku akiwa amejiremba sura mithili ya mwanamke.

Nafasi za Ajira 100 Zilizotangazwa Leo

Katika moja ya video alizorekodiwa huku akiulizwa sababu ya kujiremba kupitiliza akiwa pia amevaa hereni, amenukuu kifungu cha biblia kinachosema kuwa ‘mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu’, akimaanisha kwamba mwili wake ni kama nyumba ambapo anaweza kuupaka rangi ili kuupendezesha, hivyo si tatizo kwake kufanya hivyo.

Amesema licha kuwa ameokoka lakini ni mpenzi mkubwa wa nyimbo za kidunia hususan za Diamond na kusisitiza kuwa watumishi wa Mungu wanaokataza nyimbo hizo wanapotosha.

“Hata Mfalme Suleiman alimwimbia mke wake, hivi ukimwimbia nyimbo za Diamond mke wako, mpenzi wako kuna shida gani mbele ya Mungu? Kuna wakati nilikuwa sehemu moja mbali kidogo na mke wangu, ukapigwa wimbo mmoja hivi, watu wakashangaa tu nainuka na kucheza, wakasema mtumishi mbona unacheza hizi nyimbo? Hizi ni nyimbo za shetani, nikawaambia hapana shetani hawezi kuwa na nyimbo nzuri zote.”

VIDEO:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad