Lema azungumzia suala la mawasiliano ya watu kuyarushwa mitandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kuwa kuingilia mawasiliano ya watu na kuyarusha mitandaoni ni jambo gumu sana ukilitafakali.

Hatua hiyo inakuja baada ya kuzuka tabia ya kuzuka kuenea sauti mitandaoni zinazodaiwa kuwa ni za wanasiasa jambo ambalo mpaka sasa hakuna anaejua kuwa ni kweli au lah.

"Kuingilia mawasiliano ya watu na kuyarusha mitandaoni ni jambo gumu sana ukilitafakari,lina ondoa heshima  na utu,kwani ktk maongezi ya simu kuna zaidi ya siasa,kuna mapenzi,biashara na mambo ya familia,kushangiliia jambo hili ni kukosa utu na adabu kwa kiwango cha hali ya juu." ameandika Lema kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Lema ni Mbunge ambaye amesimamishwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge mpaka ambapo ataanza kuhudhuria mwakani.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad