Rapa 50 Cent Amkana Mwanae Hadharani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkongwe wa muziki wa HipHop nchini Marekani 50 Cent amegonga vichwa vya habari, hii ni baada ya kumkana hadharani kijana aitwaye Marquise Jackson (21) anayedaiwa kuwa ni mtoto wake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram 50 Cent amesema kuwa kijana huyo sio mtoto wake na tayari ameshapima damu kuhakikisha hilo.

“Yule sio mtoto wangu, Nimeshapima damu. Nitolee upumbavu wako hapa,“ameeleza 50 Cent kwa kumjibu shabiki yake ambaye aliuliza kwanini? 50 Cent kwenye show yake na Snoop Doggy walimbania mtoto wake Marquis Jackson asiingie backstage na kumuacha nje kwenye viti vya kawaida.

Cardi B apagawa na muziki wa Afrika
Marquise Jackson mwaka jana aliposti picha akiwa na mtoto wa Supreme McGriff ambae ni hasimu wa muda mrefu wa rapa 50 Cent jambo ambalo lilimkwaza rapa huyo wa HipHop na akashindwa kuzuia hisia zake na kukomenti kwenye post hiyo kwa kuandika, “Hata kama watu hawa wawili wakigongwa na gari, Kwangu haitakuwa siku mbaya,“.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad