Tshishimbi achaguliwa kuwa Nahodha mpya Yanga SC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kiungo Papy Kabamba Tshishimbi ameteuliwa kuwa nahodha mkuu wa klabu ya Yanga SC kwa ajili ya msimu huu wa mashindano kufuatia nahodha wa zamani Ibrahim Ajibu kusajiliwa na Simba SC

Wasaidizi wa Tshishimbi bado hawajatangazwa, uteuzi wa Tshishimbi umefanywa jana na kocha mkuu Mwinyi Zahera ambaye amerejea nchini hivi karibuni akitokea Ufaransa.

Kikosi cha Yanga SC kipo kambini mkoani Morogoro ambapo kinajiaanda na Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) pamoja Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad