Barnaba Amtaka Msanii Aache pombe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Barnaba Amtaka Msanii Aache pombe
Msanii wa BongoFleva Barnaba Classic, ameeleza mambo mengi ikiwemo Familia yake, Lebo ya muziki, T.HT., Lifestyle pamoja na kutoa ushauri kwa wasanii wa kike.

Barnaba Classic ameeleza hayo kupitia EATV & EA Radio Digital na kutoa ushauri kwa wasanii wa kike kama Amber Lulu na Amber Rutty kwa kufanya vitu vya kukosa maadili.

"Wajitambue na watambue nafasi zao katika Jamii kwa sababu sanaa sio kukaa uchi, kuhusu Amber Lulu ni kuendelea kumsihi kama dada yangu ajaribu kurudi najua anaanguka, anajikwaa najaribu kumsihi apunguze pombe ili kulinda maadili".

Aidha msanii huyo ameendelea kueleza kuhusu nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (T.H.T), haijafa kama watu wanavyosema, ila kuna ukarabati unaendelea na kuanzia tarehe 19 itazinduliwa tena.

Pia Barnaba Classic amewajibu wanaombeza kuwa hajatoboa kwenye muziki upande wa kimataifa kwa kusema, bado anaamini kwenye muziki mzuri japo watu wanamsema hajavuka soko la kimataifa wala haoni maana ila wanatakiwa waheshimu uwepo wake kwenye muziki.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad