AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
” Beyonce amekuwa akijitahidi sana kulirudisha kundi hilo kwenye ramani ya muziki na muda mzuri anaoona unafaa ni mwaka 2020 kwa sababu ndio mwaka ambao kundi hilo litakuwa linaadhimisha miaka 20 toka lianzishwe ” Chanzo cha karibu na wasanii hao kimeliambia Gazeti la The Sun.
Kitu kilichomsukuma Beyonce kuanza kupanga kulirudisha kundi lao upya ni baada ya kuona ujio mpya wa kundi la Spice Girls, kitu ambacho kimemfanya aanze kupanga kufanya makubwa zaidi yao. Mbali na kutoa album pia wamepanga kufanya tour kubwa Marekeni na Bara la Ulaya ambayo itakata kiu ya mashabiki wao waliokuwa wamewa ‘miss’ kwa muda mrefu.
Baada ya kundi hilo kuvunjika mwaka 2006, Kila mmoja aliamua kufanya kazi kama ‘Solo’ na kuwa na mafanikio makubwa huku Beyonce akiwa kinara kwa kutoa album 6 toka kundi hilo livunjike, mojawapo ikiwa ni album ya ‘The Lion King’ ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK