Bukoba Palikuwa Kichwa cha Mwenda Wazimu - Meya Chief Karumuna

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bukoba Palikuwa Kichwa cha Mwenda Wazimu - Meya Chief Karumuna
Meya wa Manispaa ya Bukoba, Chief  Karumuna amesema kuwa kipindi cha mwaka 2010 adi 2015 Manispaa ya Bukoba ilikuwa kichwa cha mwenda wazimu ambapo madiwani wake walikuwa wakirumbana na kupigana.

Hali ambayo ilipelekea fedha za miradi ya maendeleo zilizokuwa zimetolewa na benki ya dunia kurudishwa na hatimaye maendeleo katika manispaa hiyo kukwama.

Chief Karumuna amesema hayo wakati akihutubia wananchi wa Kata ya Hamgembe katika mkutano wa adhara wa Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini, Willifred Lwakatare. Ambapo amesema kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 18 zilirudishwa kutokana na uongozi wa Jimbo kutokuwa na uaminifu katika kusimamia miradi ya maendeleo na kukalia kulumbana bila kutimiza wajibu wao.

"Lakini baada Chadema kuchukua Jimbo hilo Benki ya Dunia imetupa Bilioni 7 baada ya kuridhishwa na uongozi wa chama hicho na sasa Bukoba inaenda kuwa kama Ulaya."
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad