John Legend amtangazia vita Rais Donald Trump ‘Anavijitabia vya kijinga, Lazima tumtoe madarakani’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki nchini Marekani , John Legend ameeleza hisia zake juu ya utawala wa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump kwa kudai kuwa Rais huyo ameshindwa kuziunganisha jamii za watu weusi na wale weupe na badala yake anaendelea kuchochea uhasama.

Legend akiongea na TMZ jana Jumatano Julai 31 , 2019, Amesema kuwa “Nadhani Rais wetu anavijitapia vya kijinga, Mtu ambaye badala ya kutukutanisha yeye ndio kwanza anatugawa. Nadhani kuna ulazima wa kumtoa madarakani,“.

Kwa wiki mbili sasa, Rais Trump amekuwa akishutumiwa kwa kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya wabunge wanawake nchini Marekani.

Rais Trump alitamka wazi kuwa Wabunge wanne wa Chama pinzani cha Democrats, ambao asili yao sio Marekani waondoke nchini humo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad