Kakolanya amtia matatani Manula

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

UKIACHANA na mechi tatu za kirafiki ambazo kipa mpya wa Simba, Beno Kakolanya ameitumikia timu hiyo, jana mara ya kwanza aliiongoza katika Ligi ya Mabingwa Afrika huko nchini Msumbiji dhidi ya UD Songo.



Kabla ya mchezo wa jana, Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems aliliambia Spoti Xtra kuwa; “Kakolanya anafanya vizuri, sina wasiwasi tena kama ilivyokuwa msimu uliopita pindi Manula alipokuwa
akiumia.”



“Katika mechi zote alizocheza amefanya vizuri kwa hiyo ni matumaini yangu kuwa kadiri siku zinavyoenda atakuwa bora zaidi na atatoa changamoto kubwa Manula kuhakikisha anakuwa bora zaidi ya ilivyokuwa msimu uliopita,” alisema Aussems.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad