Mke Wangu Anavaa Vikuku Miguu Yote Miwili je Nini Maana Yake?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mke Wangu Anavaa Vikuku Miguu Yote Miwili je Nini Maana Yake?
Mimi ni kijana wa miaka 28 ninampenda mke wangu lakini kuna baadhi ya tabia zimekuwa changamoto kubwa kwangu ambazo zinapelekea baadhi ya ndugu zangu na marafiki zangu kutompenda mke wangu.

Mke wangu anapenda kuvaa vikuku wakati anatokana, huwa anapenda kuvaa miguu miwili, hili limekuwa tatizo kubwa kwangu kutokana na watu huwa wananipa maana mbaya ya mwanamke anayevaa vikuku viwili katika miguu yake.

Kila ninapomuuliza mke wangu uniambia anavaa kama urembo kama anavyovaa urembo mwingine, ndugu zangu nahitaji kujua maana yake na kama ina maana mbaya nifanye nini ili mke wangu aache kuvaa naomba ushauri wenu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni urembo kama ilivyo hereni, bangili kidani n.k. Ni kuamua tu ni aina ipi ya mapambo mtu aipendsyo, kama pete vidole vyote sawa tu na haina neno.

    ReplyDelete

Top Post Ad