P Diddy akutana na familia ya Mpenzi Wake Mpya Lori Harvey

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Baada ya kuwa na tetesi kuwa rapper P Diddy yuko kwenye mahusiano mapya na mwanadada Lori Harvey ambaye aliwahi kuwa mapenzini na Justin Combs ambaye ni mtoto wa P Diddy sasa penzi lao linazidi kushamiri.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umezinasa picha za rapper huyo akiwa na mpenzi wake Lori  pamoja na wazazi wa mwanadada huyo ambaye ni mtangazaji maarufu nchini Marekani Steve Harvey na imedaiwa kuwa Diddy pamoja na familia ya mpenzi wake wapo nchini Italy kwa ajili ya mapumziko.

Kwa mujibu wa mtandao wa Rap Up uliwahi kuripoti kuwa mwanadada huyo aliwahi kuvalishwa pete ya uchumba na Diddy kitu ambacho hakijathibitishwa mpaka leo na imeripotiwa kuwa penzi kati ya Justin Combs na Lori lilivunjika.




----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad