Serikali yataja chanzo cha ndege kuzuiliwa Afrika Kusini.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Serikali ya Tanzania kupitia kwa Msemaji Mkuu wake Dkt Hassan Abbasi  imetoa ufafanuzi kuhusu ndege ya ATCL kuzuiliwa Afrika Kusini kwa amri ya Mahakama Kuu Nchini humo, huku ikibainisha kuwa chanzo ni Kesi ya madai ya muda mrefu ya fidia ya ardhi iliyotwaliwa tangu miaka ya 1980 ikimuhusisha Hermanus Steyn na Serikali ya Tanzania na kwamba kesi hiyo haina uhusiano wowote na Shirika la Ndege la ATCL na Shirika hilo halidaiwi.

“Kwenye awamu zote kulikuwa na makubaliano lakini ukifuatilia hatua za Kimahakama wanakubaliana lakini malipo hayafanyiki, kiasi kikubwa cha malipo kilifanyika katika awamu ya nne kikabaki kiasi kidogo ambacho ndio unaona amekwenda Afrika Kusini” – MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KUMBE MUSIBA NI MUONGO SANA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Musiba Si Muongo.
      Musiba NI Mzalendo na NI Muana harakati Huru.

      Na yote ayasemayo yana Ukweli na NI Ukweli mtupu.

      Kama umeguswa BASI umo.

      Delete

Top Post Ad