50 Cent, Chris Brown ni Mfalme Kuliko Michael Jackson

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

RAPA kutoka Marekani, Curtis Jackson III ‘50 Cent’ amesema kwa mtazamo wake, staa wa Muziki wa R&B na Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ ni mfalme wa Pop kuliko Michael Jackson. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, 50 Cent alimsifia Chris Brown kuwa amefanikiwa zaidi kwenye muziki katika kipindi kifupi.

50 Cent alisema, Chris Brown amekuwa msanii wa saba mwenye mauzo makubwa nchini Marekani. “Chris Brown ameuza nyimbo kwa zaidi ya milioni 69.5 hii ni Marekani na kumfanya kuwa msanii wa saba kwenye mauzo kwa muda wote. Pia ana jumla ya RIAA milioni 1000, kwa hiyo CB (Chris Brown) kwangu namuona ni mfalme kuliko MJ (Michael Jackson),” aliandika 50 Cent.
Kwa mujibu wa muziki nchini Marekani, RIAA ni Jumuiya ya Utoaji Tunu kwa Wanamuziki wa Marekani ambayo huangazia mauzo ya albamu na nyimbo moja moja katika soko
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad