Alichosema Mama Samia Suluhu Hassan Kwa RC Mpya wa Morogoro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Laota Sanare kujiandaa kwa changamoto nyingi zilizopo mkoani humo hususan katika suala la mgogoro wa wakulima na wafugaji.

Amemtaka mkuu huyo mpya wa mkoa kuhakikisha anafanyia kazi migogoro hiyo na kuleta muafaka na amani katika mkoa huo na kumuhimiza kutenda haki na kudhibiti viongozi na watendaji wake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad