Harmonize atangaza kugawa chakula bure mtaani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Muziki, Harmonize baada ya jana kutangaza kuwa na mgahawa leo ameweka wazi Mgahawa (Konge Boy) huo utakuwa unafanya nini.

Harmonize amesema kuwa mgahawa huo utakuwa ni wa bure kwa watu ambao wapo mtaani mambo hayajakaa sawa.

Ameongeza kuwa kusema kuwa sisi sote ni wa Mungu mmoja hatokula na kusaza ila atagawana na watu.

"Free...!!! free...!!! food 📢📢 Bure..!!!! Coming on your street in few days
Mana Kunawatu Wanajua Ni Biashara Yani Jeshi Atauza Walii...!!!! 🤣🤣🤣 Mtamuuwa na pressure Dada Yangu Kipenzi, Shilole .Hii Itakuwa Ni Bure.....!!!! Kabisa Kwa Wanangu Wa Mtaani Ambao Bado Mambo Yao Hajakaa Kwenye Line Sisi Sote Ni Wa Mungu Mmoja Sitokula Na Kusaza #Tutagawana ," ameandika Harmonize kupitia ukurasa wake wa Twitter.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. Yes..!!! Hata Sallam hajapata
      kuwaza au kumuiia kichwani.

      Konde Boy..!! Uko juu, Juu kabisa Kileleni,

      Rudishakwa Jamii.

      Delete

Top Post Ad