Kocha wa zamani wa Nigeria azidi kumkosa mama yake aliyetekwa wiki 10 sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kocha wa zamani na mchezaji pia wa timu ya taifa ya Nigeria Samson Siasia, zimepita wiki 10 sasa (zaidi ya miezi miwili na nusu) tangu mama yake mzazi atekwe na watu wasiojulikana.

John Obi Mikel amewahi kuwa mhanga wa tukio kama hili wakati huo timu ya taifa ya Nigeria ikiwa inashiriki michuano ya kombe la dunia baba yake alitekwa na baadaye kumwachia baada ya kupewa fedha.

Hivi karibuni Siasia alipigwa hukumu ya maisha kutojihusisha na masuala ya soka baada ya kugundulika kuwa anajihusisha la masuala ya upangaji watokeo. Siasa alikata rufaa na shauri lake linasubiri kusikilizwa upya
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad