Lema amesema Tanzania inapaswa kutoa kauli kali zaidi dhidi ya mauaji yaliyotokea Afrika Kusini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema mataifa mengine na Afrika ikiumizwa ni wote wameumizwa, hivyo Tanzania inapaswa kuwa na kauli kali zaidi.

Kiongozi huyo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter aliandika ujumbe hui leo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi amefanya vyema kuhakikishia raia wa Afrika Kusini usalama wao.

Lema alisema waziri huyo amesema hakuna mtanzania aliye kufa katika mauaji ya wageni Afrika Kusini.

“Ni heri kwetu lakini mataifa mengine na Afrika ikiumizwa ni sisi wote tumeumizwa, Tanzania inapaswa kuwa na kauli kali zaidi,” aliandika Lema katika ukurasa wake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Misokoto hairuhusiwi ktk viwanja vya bange. sasa na madawa vile vile.

    ReplyDelete

Top Post Ad