AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Usije ukajidanganya kumuona mumeo au mkeo eti anarudi nyumbani mapema na weekend hatoki ukadhani uko salama.
Sasa hivi ile lunch time kuanzia saa saba mpaka nane huko maofisini ibilisi anakuwa ameshika usukani, ikizingatiwa sasa kuna mahotel mazuri pande kariakoo, manzese, magomeni zile zinakuwa zimejaa ikifika muda huo, wake za watu na waume za watu wanakuwa wanacheza mechi za kirafiki watch out.
Hili halina ubishi
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kumbeee..!! Ndio mana watu hawaoi na hawaolewi.
ReplyDeleteKumbe mechi za Kirafiki nje nje Uwanjani. Ukuvunjika Mguu.?
NIMEVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA..Falu Joni UMETISHAAA..!!