Rais Magufuli aahidi kulishughulikia lililokuwa Jimbo la Lissu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kushughulikia jimbo lililokuwa na Tundu Lissu (Singida Mashariki) kwa upande wa Maji.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa  Rada mbili (2) za kuongozea ndege za Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanajaro (KIA). Hafla inayofanyika katika Uwanja wa Ndege.

 “Namheshimiwa nani yule aliyekuwa kwenye jimbo lililokuwa limetelekezwa la nani vile.. (Wananchi "La Lissu") ameshika huyu na ameingia na kazi kwasababu saa zingine kwenye majimbo kuna kosa wawakilishi. Kama ulivyosema Mheshimiwa Spika kwamba tushughulikie tatizo la maji katika jimbo lile…kama tulivyoshughulikia jimbo la Dar es Salaam…ninakuahidi kwamba serikali yangu itashughulikia," amesema Rais Magufuli.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad