Viwanja na Nyumba Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Nyumba ya vyumba 3, sebure, dining, kitchen na kiwanja cha 20/25 inauzwa kwa tsh 45 milion na iko fenced. Nyumba hii ipo Kimele, Mapinga, umbali wa km 3 kutoka Baobab sec.

Pia iko nyumba ya vyumba 2, sebure, dining, kitchen na kiwanja cha 20/25. Nyumba hii inauzwa kwa tsh 28 milion, haiko fenced.

Nyumba hii ipo Kimele, Mapinga, umbali wa km 2 kutoka Bunju darajani (Mingoi).

 Kwa Bunju vipo viwanja vya sqm 1000 kwa bei ya tsh 30 milion, sqm 1750 kwa tsh 50 milion. Mapinga nako vipo viwanja vya ukubwa 20/20 bei milion 4.5, ukubwa 20/30 bei milion 7, ukubwa 30/35 bei milion 12.

Viwanja hivi viko umbali wa km 2 kutoka main road ( Dar to Bagamoyo Road)

 Biashara hii haina dalali/udalali. Call 0758603077 au whatsap 0757489709
HABARI HIZI ZOTE UTAZIPATA KATIKA APP YETU YA MUUNGWANA BLOG  BOFYA HAPA KU-DOWNLOAD SASA ..
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad