Wanigeria Waliamsha Dude, Wachoma Maduka na Magari Yanayomilikiwa na Wasouth Nigeria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WANIGERIA baada ya kuona wa South Africa wanayoyafanya kuwatesa raia wa kigeni nchi kwao, na wao wameamka wanachoma maduka na magari ya wa South Africa wanao ishi nchini mwao.

Kiasi kwamba na Ndege ya South Africa imechomwa moto.

Toa maoni yako
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukipenda mbegu ya chuki huwezi ukabako salama, hii chuki itasambaa bara zima la afrika, wasouth afrika wanacheza na moto.

    ReplyDelete
  2. Ukipanda mbegu ya chuki kamwe hauwezi kubaki salama, kinachotokea Nigeria ni mbegu ya chuki iliyopandwa na wasouth wenyewe.

    ReplyDelete
  3. Sasa tutashuhudia chuki dhidi ya wageni ikisambaa bara zima la afrika.

    ReplyDelete

Top Post Ad