Well Sengo Abadiri Dini Mazima Mwenyewe Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMAMA sexy kunako Bongo Movies, Wellu Sengo amekiri kubadili dini mazima kutoka Ukristo kwenda Uislam huku akisisitiza kuwa hawezi kuzuia watu kuzungumza wanachojisikia.

Katika mahojiano maalum na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Wellu ambaye ni mzazi mwenza wa komediani Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ alisema ameamua kurudi kwenye dini ya baba yake huku akibadili jina na sasa anaitwa Amina Sengo.

“Nimerudi kwenye dini ya baba yangu ambaye alikuwa Muislam na aliitwa jina la Juma Sengo.



Jina ambalo nilikuwa ninatumia la Wellu Juma Sengo, sasa nitakuwa natumia Amina Juma Sengo, nawaomba ndugu zangu wanishike mkono katika imani hii ingawa wengi wam enizodoa wakidai huenda nimepata mwanaume wa Kiislam ambaye anataka kunioa, lakini si kweli,” alisema Wellu ambaye hivi karibuni alitengana na Steve Nyerere.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad