Amuua bintiye, akimtuhumu kula chakula chake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMME aitwaye, Isma Ssesanga, wa kijiji cha Kasawa, Wilaya ya Mukono nchini Uganda,  anashikiliwa na vyombo vya dola kwa madai ya kumpiga bintiye hadi kufa kwa kula chakula chake ambacho alikuwa amekiweka kutoka kwenye pati.

Naibu Msemaji wa Polisi wa Kampala, ASP Luke Owoyesigyire, alisema  Ssesanga alianza kuwapiga kwanza watoto wake wawili wa kiume kabla hajamshambulia marehemu, Salama Nassanga, aliyekuwa na umri wa miaka kumi.

Pamoja na Ssesanga kudai kwamba binti huyo alikufa wakati akikimbia kipigo, majirani wamesisitiza kwamba alimshambulia mtoto huyo na kumuua hapohapo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad