Aunty Ezekiel Akana Kumzawadia WEMA Sepetu Gari.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya habari kuzagaa mtandaoni, Aunty Ezekiel amekana kumzawadia Wema gari lakini bado kulikuwa na gari jingine kwa ajili ya Wema haijajulikana rasmi kama alinunua mwenyewe au aliwadiwa na mpenzi wa Sasa kwani miaka michache iliyopita Wema aliwahi kujizawadia mwenyewe gari la gharama Wakati wa birthday yake .
.
“Hili gari ni langu jamani, nimejizawadia mwenyewe kwani bethidei yangu inakaribia hivyo niliona nijinunulie zawadi mapema kabisa. Kinachonishangaza watu wanapenda tu kujiongeza bila hata kujua ukweli wa mambo, nimeona huko mitandaoni wanasema eti nimemzawadia Wema wakati si kweli" Aunty ameimbia GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad