Baada Ya Kuachana Na Travis Scott, Kylie Jenner Arudi Kwa Tyga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya siku chache kuenea kwa taarifa kuwa Kylie Jenner kuachana na mpenzi wake, Travis Scott sasa inasemekana kuwa amerudiana na mpenzi wake wa zamani Tyga



Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mrembo Kylie Jenner alionekana akiwa anaingia hoteli ya Sunset Marquis ambayo ndani yake kuna studio za muziki  Tyga anafanya kazi zake humo.

Baada ya muda mfupi Tyga alionekana akitoka katika hoteli hiyo huku Kylie Mwenyewe akitoka kwa kutumia mlango mwingine kukwepa mapaparazzi.
.


Kylie Jenner na Tyga walikuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu kabla ya kuachana na Kylie Jenner kuwa na Travis Scott ambaye wamefanikiwa kupata mtoto mmoja, Stormi Webstar.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad