ESMA "Mwanamke Atakae Jifanya Kumthibiti DIAMOND Kwa Mapenzi ya Kidhungu Mimi na Mama Dangote Tutamuundia Kamati Kumtimua"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Esma Platnumz amesema familia yao mwanamke yeyote anayejifanya kuwa na mapenzi ya kizungu kwa Diamond kutaka kukumbatiana muda wote lazima wamtimue akidai Mond amefika alipo kwa juhudi binafsi pia mchango wao Kama wanafamilia .

“Unajua sisi huku kwetu uzungu wa mwanamke kutaka wajifungie tu ndani na kukumbatiana hatutaki na nilishasema akitokea wa hivyo tunamuundia kamati na mama Nasibu jinsi ya kumuondoa,” Esma ameliambia Ijumaa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad