JPM Amwondoa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


RAIS John Magufuli leo Oktoba 1, 2019,  amefanya uteuzi na kuwahamisha kutoka vituo vyao vya  kazi wakurugenzi wa halmashauri za manispaa na wilaya na kuteua Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,  na Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol).

Katika uteuzi huo, amemteua Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).  Kabla ya uteuzi huo Dkt. Charles alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.

Pia amemteua Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Balozi na Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocal) wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambapo  Kanali Ibuge anachukua nafasi ya Balozi Grace A. Martin ambaye atapangiwa majukumu mengine ya kibalozi.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad