Kisa Liverpool, Samatta Aacha Kula Fungate ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amelazimika kumuacha mke wake Dar, siku chache baada ya ndoa kutokana na kuwahi mechi dhidi ya Liverpool ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Genk itakutana nao Oktoba 18.



Samatta amefunga ndoa na mzazi mwenzie Neima Mgange aliyezaa nae watoto wawili (wakike na kiume), katika ndoa iliyofanyika Mtoni Kijichi jijini Dar huku ikihudhuriwa na watu wachache.



Akizungumza na Spoti Xtra,Baba Mzazi wa Samatta, Mzee Ally Samatta amesema kuwa atalazimika kuunganisha safari baada ya kumaliza mechi ya Taifa Stars kesho nchini Rwanda.


“Samatta amejiunga na timu ya taifa kujiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda kwa kuwa yeye ni nahodha, hivyo akimaliza mchezo huo ataunganisha huko huko Rwanda kuelekea Ubelgiji kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wake wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool.



“Kuhusu fungate watapanga weneyewe siku yeyote na kuamua watakwenda kulia wapi kwa sasa wamekosa muda kutokana na majukumu ya kikazi, akirudi mwezi wa 11 ndio mambo mengine yataendelea,” alisema mzee Samatta.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad